NEXT ON
17/04/2014
22:00 pm - 00:00 am
from
22:00 pm - 00:00 am

Pillow Talk is a kill switch to a listener’s long day. It tucks in listeners with soothing jams, orchestra or RnB. Engaging on intense discussions about family and romance just to keep listeners awake beyond their curfew.

Latest Updates
Utafiti: Utumiaji wa Facebook kupita kiasi huhamisha usaliti wa mapenzi, ushahidi wa Facebook waongezeka mahakamani kwa wanaodai talaka
Na Josefly Muhozi Mtandao wa facebook ambao ulianzishwa kama utani miaka 10 iliyopita (February 4, 2004) na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard, Mark Zuckerberg, imekuwa ni njia ...
SHILOLE KWENYE PILLOW TALK
pillow talk
New Video
Brand new

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari inayohusu msanii mpya kutoka Mwanza ‘Barakah Da Prince’ ambaye alionekana kuzungumziwa zaidi kwenye mitandao huku baadhi ya wasanii wakubwa wa Tanzania wakimpa sapoti kwa kupost picha zinazoonesha ujio wa video ya wimbo wake unaoitwa ‘Jichunge’.

Kama ni countdown, leo ndio imefika ile siku na hii ndio video iliyokuwa inazungumziwa. Barakah yuko chini ya usimamizi wa Tetemesha Entertainment.

Wimbo umefanyika ndani ya Studio za Tetemesha kwa ushirikiano wa watayarishaji wawili, Kidbwoy na Nusder.

Video imeongozwa na Nisher wa Arusha, location ya Video ni Dar es Salaam.