Edson Mkisi

5 comments

Personal details
Last Name: Mkisi First name(s): Edson
Nick Name: Junior Gender: Mme
Title: Mtangazaji
Date of birth: February 15,
Home Address: Kigamboni
Postal Address: P.O Box 60442 Dar es Salaam
Telephone: 0712464725/0767377080
Origin: Mnyakyusa

Hobbies: Nakupenda sana kucheza mpira wa miguu, kuangalia Movie na kusoma vitabu na magazeti.

About career/personal experiences:
Huu ni mwaka watano katika fani ya Utangazaji. Kabla ya kuingia kwenye fani hii, niliwahi kuwa mwandishi wa habari wa magazeti pendwa na niliwahi kuzifanyia kazi Kampuni za Global Publishers na Kiu Investment Co. Limited kwa vipindi tofauti. Na sababu ya kuingia Radio Times ni baada ya kurudi Chuoni kujiendeleza kimasomo na baada ya kumaliza muda wangu wa Field katikakituo hicho viongozi wa Radio walipenda kazi yangu na kuingia nao mkataba ambapo hadi sasa natangaza kipindi cha Hatua Tatu kinachoruka kila siku Jumatatu hadi Ijumaa saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana.

About yourself/Personal life:
Kwanza naomba watu mashabiki wangu mjue kwamba mimi ni motto wa nne kuzaliwa katika familia ya watoto sita wa Mr & Mrs Ishmael Mkisi. Nimesema shule ya Msingi Vijibweni uliyopo Kigamboni jijini Dar na baadae kujiunga katika shule ya Sekondari Makongo kwa level ya O’ level na A’level. Baada ya hapo nilijiunga na Chuo na Uandishi Habari na Utangazaji cha Royal kilichopo Ubungo jijini Dar na kuchukuwa Diploma. Binafsi napenda sana kufanya kazi hususani kupitia fani yangu napenda sana kufanya kazi za uchunguzi na kuhakiki ukweli wa kazi hiyo kabla ya kuipeleka hewani. Hali hiyo imeweza kunisaidia sana kwasababu tangu nianze kazi hii sijawahi kukutana na difermaion yoyote ambayo iliwahi kuigharimu pesa nyingi kampuni yangu ninayoifanyia kazi / niliyowahi kuifanyia kazi.

THATS SHORT AND CLEAR ABOUT MKISI JR.

5 comments

 1. Kiitti

 2. hassan

  je unavyotembea mara bagamoyo mara dar hyo pesa ya naul inatoka kwenye kampuni au unatoa mwenyewe

 3. Beatrice Hugo Mwakamela

  Mungu azidi kukuongoza katika kazi yakooo kaka mkisi pia naomba msaada wako kwani muinuko wa sisi vijana bd sio mzuri

 4. bonifacw mnanka

  uko vzr mkisi njoo msata

 5. A pllseingay rational answer. Good to hear from you.

Leave a comment