VITU USIVYOVIJUA KUHUSU AMINA BLUE MODEL WA VIDEO YA TYGA 1 OF 1

No comments

1.Ana hasili ya Pakistani na ujerumani lakini anaishai New York Brooklyn Amezaliwa tarehe 2 April 1993

2.Mara ya kwanza alionekana kwenye maonesho ya mavazi yam kali Kanye west Yeezy Season 1 February 2015 na pia alionekana kwenye Yeezy Season 3 mwaka huu

3.Amina Blue yeye ni moja kati ya mastaa wachache sana ambao ni Veagan hawatumii product yoyote ile ya nyama

4.1 Of 1 sio video yake ya kwanza aliwahi kuoneka kwenye video ya Asap Ferg na mkali Futer ‘New Level’ aliyotoka tarehe 18 mwezi 12 mwaka 2015

5.Amina mbali ya kuwa model wa Yeezy pia Anamiliki brand yake ya viatu ya

6.Anawafollow watu 8 tu kwenye mtandao wa Instagram @amina.blue

Related Posts

No Comments Yet.

Leave a comment