Steve nyerere Akana ukosefu wa soko la filamu za Ndani

No comments

Steve nyerere Akana ukosefu wa soko la filamu za Ndani kwani filamu za Nje zilikuwa tangu enzi hizo tulizikuta lakini hii leo ndiyo zinaonekana Ni mbaya wasanii tuongeze ubora wa kazi zetu Mbona tulikuwa vizuri iweje leo tushuke.

Steve nyerere alisema “Mbona muziki wan je unapigwa na wala hakuna tatizo je na wao wakataze usipigwe huo Mziki  ,Yemi alade anapigwa kila siku Tanzania.

“Ni uongo kusema Filamu za Nje Ndiyo zinazuia Filamu za Ndani Kuuzika”- Steve nyerere

Pia Steve Alisema Kinacho kwamisha kuuzika Filamu ni ubovu kwani filamu za Nje zinauzwa kwa shilingi 2000 na Unaangalia takribani siku mbili na Huchoki lakini zahapa kwetu Unaangalia Saa moja tu Ubunifu hakuna kabisa Na ni bei Huwezi ukamuuzia mtu DVD Moja shilingi 6000 akaangalia saa moja tu .

Steve Adai kingine kinachokwamisha ni Kuwa na Msambazaji Mmoja ambaye anamamlaka na DVD zikikaa sanakwake anashusha Mpaka DVD inauzwa Shilingi 2000

No Comments Yet.

Leave a comment