RICK ROSS KUJA NA ALBUM MPYA

No comments

Boss wa MMG Rick Ross ‘Ross’ ameweka wazi kuwa anatarajia kuachia album mpya hivi karibuni aliyoipa jina la ‘Rather You Than Me’ Ross amesema kuwa anatarajia kumshirikisha mkali Nas

Lakini kabla ya kutangaza jina la album hiyo Ross alisema kuwa alipata kujifunza vitu vingi kutoka kwa Nas waliposhirikiana kwenye ngoma ya Rich Forever na ndo maana amemfikilia Nas ambaye hajasikika muda mrefu kwenye game

“Napenda kusema kuwa kwenye album mpya inayokuja jiandane kumsikia mmoja kati ya wakali la muda wote nilipanga kutokumtangaza ila ni Nas maana niilipata kujifunza vingi sana wakati tulifanyakazi pamoja kwenye kwenye Rich Forever” Ross alisema hayo wakati anahojiwa na Mtangazaji mkongwe na muziki wa Hip Hop nchini Marekani Anglie Martinez

Related Posts

No Comments Yet.

Leave a comment