RICH GANG YARUDI TENA NGOMA MPYA

No comments

Baada ya ukimya wa muda mrefu kundi la Rich Gang ambalo kwa sasa linaundwa na mkali Young Thug ‘Thuger Thuger na boss wake Birdman ‘Baby’ limerudi tena na trank mpya walioipa jina la Bit Bak

Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa na mkali TM88 ni moja kati ya nyimbo ambazo zitakuwepo kwenye album mpya ya Rich Gang ambayo ilitangazwa miaka miwili iliyopita na Birdman kupitia Twitter

Related Posts

No Comments Yet.

Leave a comment