REMY MA AMJIBU NICKI MINAJ KUWA YEYE SI WAKUJIFANANISHA NAYE

No comments

Rapper Remmy Ma amesema kuwa hawezi kujifananisha na rapper yoyote wa kike kwenye game ya Hip hop kwa sasa kwakua anaamini hakuna anayeweza zaidi yake kwa marappa wa kike na hata baadhi ya marappa wa kiume

Remmy ambaye ni group member wa Terror Squared amesema kuwa anashanga kwanini kuna marappa wa kike wanajifananisha ana yeye kwa sasa

“Sina uhakika kama anaiomgelea mimi na kama ananiongelea mimi nadhani mimi sio mtu wa kujifananisha naye mimi ni mkali kwanzia mwanzo na ni mkali mpaka sasa sidhani kama kuna rappar wa kike anaweza kujifananisha na mimi “ Remmy alikiambia kituo cha Hot 97 alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha The Breakfast club

No Comments Yet.

Leave a comment