Polisi kuwashikilia walio husika kumpora Kim Kardashian Ufaransa.

No comments

Inasemekana kuwa mapolisi wa Ufaransa,Wanafanya juhudi kutafuta majambazi waliomuibia Kim Kardashian vitu vyake vya dhamani mnamo Tarehe 3 mwezi wa kumi,Hotelini Ufaransa.

Kwa mujubu wa chanzo cha habari hii,watu 17 wamekamatwa kama watuhumiwa wa tukio hilo ili kuulizwa maswali, Chanzo hicho kinasema watu 3 wanaosadikiwa kuwa wanawake,walikuwa wakimchunguza Kim siku kabla ya tukio hilo,watuhumiwa 2 wengine wanaaminika kuwa wanajishughulisha na biashara ya Almasi.

Polisi waliweza kuingilia mawasiliano ya watuhumiwa hao kupitia simu walizo zitumia siku ya tukio hilo.

No Comments Yet.

Leave a comment