Picha za ‘utupu’ za mke wa Donald Trump zasambaa mitandaoni.

4 comments

Jarida la New York Post limechapisha kwa mara nyingini picha za utupu za Kisagaji za mke wa Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump, Bi Melannie.

Picha hizo ambazo imeelezwa kuwa zilipigwa miaka 3 nyuma kwabla hajakutana na Trump, zinamuonyesha Melanie akipigana mabusu na kushikana na mwanamke mwenziwe wakiwa watupu.

Melanie bado hajaeleza lolote kuhusiana na picha hizo, na inaelezwa kuwa hili si tukio la kwanza kuvuja kwa picha zake za Utupu.

 

4 comments

  1. Heeeee

  2. Noel boma

    NI NOMA SANA

  3. Hassan mrumbi

    Wameamua kumuua nguvu kabisa

  4. Wambwe david

    Daah! Ndo mke wa rais au sion vzr?;-(

Leave a comment