Orodha ya wasanii wa Hip Hop matajiri duniani 2015.

29 comments

Jarida maarufu duniani kwa rekodi mbalimbali Fobes, limetoa orodha mpya ya wanamuziki wa Hip Hop duniani wenye mkwanja mrefu zaidi.
Tunakumbuka mwaka jana nafasi ya kwanza ilikamatwa na mmiliki wa Beats Electronic Dr. Dre, mambo ni tofauti mwaka huu ambapo nafasi ya kwanza imekamatwa Sean Combs “Diddy” kwa utajiri wa dola za kimarekani million 735.
Itazame orodha kamili hapo na mpunga anaoumiliki kila mmoja.
1. Diddy – $735 Million
2. Dr. Dre – $700 Million
3. Jay Z – $550 Million
4. 50 Cent – $155 Million
5. Birdman – $150 Million.

29 comments

 1. Wana haki ya kuwa hivo kwan wanaonesha juhuud zao kwa jamii… Good jobs.

  • raphael joseph

   wame sitahili kwasbabu kazi wanazo zifanya hongeni sana!

  • robert linuma

   Birdman kaza tunakuamin

  • yani kiukweli wanastahili kuwa hvyo mana wanatisha ile mbaya kimziki.

  • nikweli kabisa

  • nikweli kabsa

 2. qj jar mgaya

  nisawa kabisa apo hakuna ubishi

 3. kulingana na kazi ambazo wanafanya lazima wawe hivyo ipo siku AYatashika tu

 4. hiyo nzuri

 5. p.didy hongera sana kwake inaonesha juhud zake

  • komaa didyrunk were still together

 6. michael lazaro

  Ni jinsi gani watu wanavyopenda Sana’a yao na kuona ni sehemu ya maisha mungu aemdelee kuwababariki

 7. solen mhanga

  mhuuuuu!!, kwa afrika n roma tu.

 8. samuel Mwankemwa

  They Deserve!!! bt Bird Man vip tena au wizzy ndo kaporomosha mauzo hadi 50 kakupiga gepu!!!!

 9. Saus Austine

  Juhudi Zao Na Uwajibikaji Ndio Mafanikio Yao

 10. kiukweli ni halali yao kwani wanajitaidi xana

 11. Aloyce Kamugisha

  Acha wawe ivyo… maana dunia ndivyo ilivyo wachache wawe nacho wengi wawe maskini ndio mfumo wa maisha hatuwezi kulingana, hata kama hatupendi

 12. Alfredy mberwa

  Dah! ila kuna tofauti kubwa sana kati ya namba 3 na 4, ina maana 50 cent haingiz mkwanja kwenye movies anazofanya

 13. Hip Hop ndiohio siobongo njaatupu

 14. duh p.didy anatisha vibay

 15. saf xana 50 cent

 16. robert linuma

  Birdman kaza tunakukubal .sana

 17. You are so cute.

 18. i appriciate his work mr P Didy ,big up nigga and keeep it up .

 19. Badman anamkwanja was kutosh kulik wasanii wrote hiyo IPO waza

 20. Ni kweli bhana ila tulowengi tunashindwa kuendelea kwasababu tunaamini ushirikina tunaacha kufanya kazi

 21. Yan birdman na kujidai kote kumbe ni tano,fuc**

 22. haswaaa yani huslar ata bak kua juu 2 acheni magungu watu kupondeana 2 lakn huo xio mfumo mzur wa maisha

Leave a comment