NIKKI MBISHI:JIANDAENI KWA SINGELI

No comments

Rappa Nikki Mbishi ‘Zohan’ ambaye aliitwa na baraza la sanaa nchini (BASATA) amesema kuwa hayupo tayari kuongelea kitu chochote kwa vyombo vya habari juu ya wimbo wake wa AM SORRY JK baada ya kutoka kuhojiwa na BASATA

Nikki amsema kuwa anafanya hivyo kwa usalama wake binafsi na vyombo hivyo vya habari huku akiwataka mashabiki zake kujianda kwa nyimbo ambayo itakua na maadhi tofauti kwakua muziki ni kazi yake

No Comments Yet.

Leave a comment