KUMBE OCHU HAKUWAHI KUFANYA BIRTHDAY PARTY ZAMANI KABLA YA KUKUTANA NA WITNESS

No comments

Mkali Ochu Sheggy amesema kuwa kwenye maisha yake tangu amezaliwa hakuwahi kuazimisha siku yake ya kuzaliwa (Birthday) kwa sherehe kama watu wengine mpaka alipokutana na mpenzi wake Witness kibonge mwepesi

Ochu amesema kuwa mara yake ya kwanza kufanyiwa birthday party na mpenzi wake huyo alishanga sana kwakua ulikuwa ni utaratibu mgeni kabisa kwenye mfumo wake wa maisha

“Katika maisha yangu zamani sijawahi kufanya au kaazimisha sikukuu ya birthday maana zilikuwa zinapita tu kisela ila aaada ya kukutana na wirnes alinifanyia surprise kwenye siku yangu ya kuzaliwa na baada ya pale huwa tunaadhimisha kila mwaka”

Witness na Ochu ni moja kati ya couple iliyodumu zaida kwakaua wanazimisha miaka minne ya kuwa kwenye uhusiano wao

No Comments Yet.

Leave a comment