Jux amejibu ikitokea mpenzi wake wa Zamani Jack Patrick ametoka Jela China, itakuwaje penzi lake na Vanessa Mdee?.

10 comments

Star wa RNB Bongo, Juma Jux, ameweka wazi nini atafanya endapo mpenzi wake wa zamani Jack ‘Cliff’ Patrick atamaliza kifungo nchini China, itakuwaje penzi lake na Mwanamuziki Vanessa Mdee.

Akiongea kupitia kipindi cha Hatua Tatu cha Times Fm mapema leo, Jux amesema ni kweli hawakuachana na Jack matatizo ndiyo yamewatenganisha lakini hawezi kurudiana nae kwa kuwa tayari yupo kwenye dimbwi la Mahaba na Vanessa.

“Ni kweli kapata matatizo, lakini mimi nimeshamove on nipo kwenye uhusiano na mtu mwingine, ni kijana mdogo acha tu niendelee na maisha yangu mengine” Amesema Jux.

Katika hatua nyingine msanii huyo amesema huwa anavipa nafasi vitu vyote anavyovifanya ndio maana hatetereki katika kujiongoza kwenye Muziki, Shule na Biashara.

10 comments

 1. John terry

  Huo ndo uamuzi wa kiume hamna kutetereka kwaajili ya mapenzi

  • Men are very weak when it comes to this stuffs I think Jux loves Jack n not Vannesa y did he sang that song Nitasubiri

 2. Goodluck gerald

  True boy

 3. basila

  Yuko sawa

 4. Vanessa ndo wanendana na jux
  i love there releshenship

 5. Omary Salum

  Komaa na v money

 6. samson kandore

  Nifresh coz mwanaume unatakiwa kujiamini katika maamuzi yako na si kuteteleka, Big up kijana.

 7. mwandanga itewe

  Dats y ur a gentleman not a man.

 8. First of all,i congratulate my brother (jux) for what your decission you took it.But in which condition will left Jackline back ?wakati ulimwahidi utamsubiri?huoni kwamba hata wewe kwenye mapenzi hauna msimamo.kwa mantiki hiyo hata vanessa siku akipata tatizo kama la JACKLINE utahamisha mapenzi kwa mtu mwingine tena.

 9. seyilisah

  mmmh jux get serious jack loves you i might its you wat would you do!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Leave a comment