FAT JOE: SIKUSHANGA KUONA CHANCE ANASHINDA GRAMMY 3

No comments

Mkali wa all the way up Fat Joe amesemakuwa hakushanga kuona Rapper chance the rapper anashinda grammy tatu kwakua yeye ni mmoja kati ya mashabiki wa ukweli wa rappar huyo wa Chigaco


Aidha Fat Joe amesema kuwa Chance alistahili kushinda hata tuzo ya verse kali ya mwaka kwakua amefanya muziki mzuri zaida kuliko wake japo ngoma yake ya All the way up ilipata airtime kubwa zaida na kukubalika mtaani kuliko ya Chance the rapper

“Mimi nishabiki namba moja wa Chance na nadhani kwamba angeshinda hata tuzo ya verse kali ya mwaka au tuzo nyingine yoyote kwenhye tuzo za Grammy kwaua verse yake kutoka kwenye nyimbo ya “Ultralight Beam” nadhani ilitoka kwa Mungu na sio kwa ninadamu wa kamwaida namfahamu chance na nafurahia udhundi wake sidhani kama ushindi wake ni wakuhojiwa “ alisema Fat Joe

Related Posts

No Comments Yet.

Leave a comment