Eminem Amkubali Kendrick Lamar kama Mkali wa Rap.

No comments

Mwanamuziki Nguli wa Kurap Eminem ni mmoja wa wasanii ambao mpaka akukubali kama wewe mkali,lazima uonyeshe kweli kwamba wewe ni chuta kwenye kutema cheche za kurap.
Inasemekana Eminem,hakuwa ana mini mistari anayoitemaga Kendrick Lamar ni ya kwake bali alikuwa ana andikiwa na mtu.

Hii Imetokea juzi kati ambapo Ed Sheeran mwanamuziki wa Uingereza,aliezeka kilichotokea studio Em na Lamar walipokutana.

Eminem alimwalika Kendrick studio,kwa sababu alisikia Lamar mkali sana kwenye mashairi Kendrick alifika studio na masala wake kibao. Ila Eminem alimwambia Kendrick anamtaka yeye mwenyewe studio,producer wake atakuja kumrekodi.Ila masela wake hawatakiwi kuindia.

Huwa Ikifika point hii Rappers wengi,huanza kutetemeka aswa kama ni wapya kwenye gemu.ila kama kawa K.Dot alikuwa ametulia akakubali.

“Kendrick alitunga mistari mikali,kila mtu alipata nafasi ya kuisikiliza ndani ya studio,Baada ya hapo Eminen alisema amefanya hivyo kumjaribu Kendrick kujua kama ana andika mistari yake ama laa.

Hapo indigo alipotambua kuwa Eminem ni mkali kwenye Game.

No Comments Yet.

Leave a comment