DIAMOND ARIPOTI KWA KAMANDA MPINGA

No comments

Mkali Diamond Platnumz ameripoti makao makuu ya jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kuitikia wito baada ya kupost video kwenye mtandao wa Instagram akiwa anaendesha gari huku hajafunga mkanda na kuachia usukani na kucheza Diamond aliamliwa kulipa faini kulingana na sheria pamoja na kupewa onyo kali

Diamond alopost picha kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram na kuwataka vijana na watu wotew kuacha tabia ya kuendesha gari bila kufunga mikanda kwa ili kujirinda na ajari zinazoweza kutokea

No Comments Yet.

Leave a comment