CARLOS SANTANA: NANI BEYONCE MBONA HAJUI KUIMBA

No comments

Mkali wa kucheza Gitaa Carlos Santana amesema kuwa anashangaa kwanini Adel alitaka kupokea tuzo yake ya Grammy na kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kushinda Beyonce na album yake ya LEMONADE
Santana alisema hayo wakati akifanya Interview na kituo kimoja cha Televisheni nchini Australia

“Nadhani Adele alishinda kwakua anajua kuimba kwa heshima kubwa kwa dada yetu Beyonce ambaye ni mzuri kwa muonekane wake nadhani ni mtu anayefanya muziki wa wanamitindo sio muimbaji na heshima yangu kubwa kwake” alinukuliwa

“Adele anajua kuimba kuliko B, kwakua anaimba bila kutegemea madansa na anafurahisha watu sio kama beyonce” aliongeza Santana ambaye alipiga Gita kwenye wimbo wa Maria Maria

No Comments Yet.

Leave a comment