Baba yake Belle 9 Azikwa Huko Mkoani Morogoro

No comments

Wasanii mbalimbali wa muziki NchiniTanzania wajitokeza katika kumsindikiza katika safari ya mwisho ya Mzazi wa Kiume wa Msanii Belle 9 Morogoro alipo pumzishwa Mara baada ya Kukutwa na Umauti wasanii hao ni Pamoja na Jux, Afande sele, Stamina na wengine wengi

Kutokana na Msiba huo Msanii Belle 9 kwake imekuwa ni Pigo kubwa sana hasa kumpoteza baba yake mzazi kwani Alikuwa ni Mmoja kati ya Nguzo yake katika maisha yake .

Times Fm Inatoa Pole Kwa Familia yote kwa Kupatwa na Msiba Huo

Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema peponi Ameni

 

No Comments Yet.

Leave a comment