Kaka yake na mchekeshaji maarufu Ulimwenguni Eddie Murphy,Charlie Murphy afariki Dunia.

No comments

Ulimwengu wa Sanaa ya uchekeshaji jana imepoteza mtu mashuhuri kwenye tasnia hiyo,kwa kumpoteza mchekeshaji kutoka Marekani Charlie Murphy.
Charlie Murphy amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu na Kansa ya Damu,Charlie amefariki Dunia akiwa na miaka 57.
Muigizaji huyo ameonekana kwenye filamu nyingi za vichekesho Nchini Marekani,na kuweza kupata umaarufi kupitia mdogo wake Eddie Murphy.
Daima atakumbukwa kwa uchekeshaji wake Jukwaani na kwenye filamu.

No Comments Yet.

Leave a comment