FID Q ALELEZA KWA NINI HAKUMPA NAMBA EDO BOY

No comments

Mkali Fid q amesema kuwa alishindwa kumpa namba hake msanii Edo boy kwakua hakua ana mfahamu sana kiasi cha kumuamini kumpa namba yake binfsi ya simu

Fid amesema kuwa namba hake sio namba ya taifa kuwa sio kila mtu anaweza kuwa nayo bali ni baadhi ya watu anaowaamini na kuwafahamu vizuri ndio wanaoweza kuwa na namba yake na si vinginevyo

“Sijajua kwa nini aliamua kuchukulia hivyo mimi nilishindwa kumpa namba yangu kwakua sikuwa namfahamu sana Edu boy kwa kipindi kile na namba yangu sio namba ya Taifa kuwa kila mtu awenayo na huwa nawazingua sana watu wanaotoa namba yangu kwa watu mabumashi”

Fid alikiambia kipindi cha the Playlist baada ya wimbo mpya wa Edo boy uliomchana kuwa alimnyima namba ya simu wakati wa hustle zake za kutoka

Related Posts

No Comments Yet.

Leave a comment