Blog

PROF. MBARAWA AITAKA BODI YA DMI KUBORESHA MIUNDOMBINU

No comments
Serikali imeitaka Bodi ya Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kuhakikisha inaboresha miundombinu ya chuo na kuzingatia miiko na kanuni za ufundishaji ili wanafunzi wanaohitimu chuoni hapo waweze kukidhi mahitaji ya soko.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, amesema
more

Wasichana 8000 kunufaika na mradi wa UNESCO wa Elimu

No comments
 Wasichana 8,000 waliopo shuleni na 600 ambao hawako shuleni watanufaika na mradi mkubwa wa kuwawezesha wasichana na wanawake vijana kupata elimu.
Mradi huo wa miaka minne wenye gharama ya dola za Marekani milioni 5 utafanyika katika wilaya tano nchini.  Wilaya hizo ni Ngorongoro,
more

Polisi 4 wauawa katika mlipuko Garissa Kenya

No comments

Maafisa 4 wa polisi wameuawa na wengine 4 kujeruhiwa, mmoja akiwa katika hali mahututi, katika shambulio Jumatano alfajiri eneo la Liboi kaskazini mashariki mwa Kenya karibu na mpaka na Somalia.

Duru za usalama zinaarifu kuwa gari la kijeshi lililokuwa limewabeba maafisa wa usalama wa Kenya lilikanyaga bomu la kutegwa ardhini. Taarifa katika baadhi ya vyombo vya
more

Tunda Man Ataja Sababu Tatu Zinazopelekea Kuvunjika Kwa Makundi ya Muziki

No comments
Katika Tasnia ya muziki Tanzania na Duniani kwa ujumla tumeshuhudia makundi mbalimbali ya muziki yakianzishwa na kudumu kwa muda mfupi na kupelekea kupotea kabisa kwa wasanii husika kwenye ramani ya muziki wakati washabaki wakiwa na kiu ya kusikiliza kazi zao za muziki. Times Fm Radio iliamua kupiga stori na mmoja kati ya msanii aliyopo kwenye tasnia
more

Ndoto ya Kufanya Kazi Pamoja Kati Lupita nyang’o na Rihana Yatimia

No comments
Baada ya utani baina ya Mwanamitindo na muigizaji Lupita nyong’o dhidi ya Mwanamuziki kutoka nchi ya marekani Rihana kwa kuposti picha katika mtandao wa twitter huku wakiwa pamoja na kundika kama wanaweza wakafanya Filamu kwapamoja ukiwa ni Utani ,ndoto hiyo yaanza kutimia mara baada ya kutokea kwa muongozaji wa filamu na kutaka wawili hao waweze
more

Wakumbushwa kulipa kodi ya majengo mwisho juni 30

No comments

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akizungumzia umuhimu kodi ya majengo kwenye mkutano wa wadau wa kodi uliofanyika Ukumbi wa Ofisi yake.Kulia kwake ni Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere, Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Kamishna wa Polisi
more

Fella : Yamoto Band Haijafa

No comments
Kigogo wa muziki wa bongo fleva aliyetumia nguvu, akili na uwekezaji mkubwa kuhakikisha muziki wa Bongo unakubalika na kufanya vizuri Ndani Nje ya Tanzania na kuwa tengenezea vijana wengi ajira wanamuita Mkubwa Fella Toka Kiumeni Temeke (TMK) amewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa kundi pendwa kundi la Yamoto Band kuwa kundi hilo halijafa bali wamesimama
more

Yusufu Manji ajiuzulu rasmi yanga

No comments
Kupitia barua yake iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Manji amesema kuwa anaondoka akiamini ameiacha Yanga ikiwa timu yenye mafanikio kisoka nchini. "Muda wangu wa kutangaza kuwa ninakaa pembeni kutoka kwenye nafasi ya uenyekiti ni sasa. Tayari tumekuwa mabingwa watetezi mashindano tena tuna kizuri cha wachezaji na makocha. Tumeungana kwa pamoja haijawahi kutokea, " imesema sehemu ya
more