The Official Party Stater
Wimbo Mpya: Yamoto Band- Niseme (Extended Version by Xpandable DJz)

Xpandable DJz wa 100.5 Times Fm, DJ R Guy na DJ Jors Bless wameachia Extended Version ya wimbo wa kundi la Yamoto Band ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Vyanzo: Sakata la Diamond kuvaa sare za jeshi, Babu Tale ashikiliwa na polisi, Kamanda wa polisi azungumza

Kufuatia tukio la Diamond Platinumz kuonekana akiperform na sare zinazoaminika kuwa za jeshi la Wananchi (JWTZ), ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Video: Rodger Aendelea Na Nyimbo Za kumtetea Balotelli, Atamba Kumtumia Leo

Meneja wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers ameendelea kuwasihi waandishi wa habari pamoja na mashabiki wa soka nchini ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Video: Babu Akiri Anderlecht Ni Hatari Wanapokua Nyumbani

Washika bunduki wa Ashburton Grove, Arsenal hii leo wanakabiliwa na mchezo wa mzunguuko wa tatu katika michuano ya ligi ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Arbeloa: Nitahisi Faraja Nitakapousikia Wimbo Wa You Will Never Walk Alone (Video)

Meneja wa klabu bingwa barani Ulaya Real Madrid, Carlo Ancelotti pamoja na beki wa pembeni wa klabu hiyo Alvaro Arbeloa ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Amber Rose amuonesha mapenzi Wiz Khalifa katika siku yake ya kuzaliwa

Amber Rose na Wiz Khalifa, wanandoa ambao wametengana hivi karibuni bado wanaonesha kuna mapenzi kati yao na sio maadui ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Mourinho: Drogba Alijipendekeza Kupiga Penati (Video)

Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amewashangaza waandishi wahabari baada ya kusema hakufurahishwa na kitendo ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Nicki Minaj na boyfriend wake wamwagana? Boyfriend wake afunika tattoo ya Nicki

Wanasema dalili ya mvua ni mawingu, hivi ndivyo inavyoonekana katika uhusiano wa Nicki Minaj na mpenzi wake Safaree Sam ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Suarez ahesabu Siku, Aishuhudia Bacelona Ikiichana Ajax akiwa VIP

Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kumaliza adhabu ya kufungiwa michezo minne kucheza soka, mshambuliaji kutoka nchini ...

posted 2 days ago
SEE MORE

Video: Ampiga mawe binti yake hadi kufa kwa kosa la kufanya mapenzi kabla ya ndoa

Mfuasi mmoja wa kundi la ISIS la Syria ameungana na wanajeshi kadhaa wa kundi hilo kufanya mauaji ya kinyama kwa ...

posted 2 days ago
SEE MORE

SEE MORE POSTS
New Video
Brand new

FBTv inaandaliwa na Omary Tambwe aka Lil Ommy wa 100.5 Times Fm inakupa nafasi ya kuzingalia video mbili mpya za Profesa Jay, Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma na Tatu Chafu iliyoongozwa na Hefemi.

Prof anasikika ndani akielezea kiu ya video hiyo kwa mashabiki wake ana anachotegemea.

Ifuate FBTV kupitia www.facebook.com/runingayetu  'Like, Watch, Share

 

News Bits

Video: Mahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii ... read more
Utata Wazidi Kutanda Umri Na Uhalali Wa Miss Tanzania 2014
Baada ya kuonekana kuwa mrembo wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti ... read more
Sponsered
B hitz